Why you should vote!
- To determine the economic direction of this country – Kuchangia uchumi bora
- To enable me exercise my democratic right –Kutimiza haki yangu ya kidemokrasia /kisiasa/ya kimisingi
- To have a leader of my choice – Nafasi ya kumchangua mwakilishi wangu
- It’s your money – Ni pesa/ushuru/rasilimali yako
- Vote for your future – Kura yako, kesho yako
- Opportunity to bring in new leaders – Nafasi bora ya kubadilisha viongozi
- It is my responsibility – Ni Jukumu/Wajibu wangu Kiongozi bora , sera bora
- To vote when or where my voice will be heard – Kumchagua kiongozi atakaye wakilisha sauti yangu