For real time discussions on covid19 and please visit Uraia’s rapid response forum here.
Kuvaa mask sio kwa sababu ya polisi
Social distance kwenya gari za abiria
Kama huna shughuli nje kaa nyumbani
Sanitizer kwenye magari ya abiria
Lazima upimwe ndio ujulikane una korona
Musiwabague walio pata korona na wakapona
Musiwafute wafanyi kazi kwa sababu wamepita karantini